Show simple item record

dc.contributor.authorMwangi, Jackson N
dc.date.accessioned2022-07-06T12:03:16Z
dc.date.available2022-07-06T12:03:16Z
dc.date.issued2019
dc.identifier.urihttps://journals.eanso.org/index.php/eajss/article/view/671
dc.description.abstractFasihi ni zao la jamii na hubadilika kila uchao. Uwakilishi wa suala la TEKNOHAMA katika tamthilia za kisasa umechukua mkondo mpya. Hii ni kwa sababu, kutokana na jinsi dunia inavyobadilika ndivyo masuala ya kiteknolojia pia yanavyoathiri fasihi ya sasa na kuipa mguso na taathira mpya. Licha ya uwakilishi wa TEKNOHAMA kuwa na umuhimu katika kukuza fani na maudhui katika fasihi, mchango wake katika tamthilia ya Kigogo haujafanyiwa utafiti, suala linalomchochea mtafiti kulitafiti. Lengo kuu la utafiti huu ni kutathmini mchango wa TEKNOHAMA katika kukuza maudhui katika tamthilia ya Kigogo ya Pauline Kea (2016). Utafiti huu unaongozwa na Nadharia ya Uhalisia. Uteuzi wa sampuli utafanywa kimakusudi na utafiti wenyewe ni wa muundo wa kiudhamano. Mtafiti atasoma ma kala mbali mbali kuhusiana na mada na kisha kuichanganua data kwa njia ya kimaelezo.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherEast African Journal of Swahili Studiesen_US
dc.subjectTEKNOHAMA, Mtindo, Maudhui, Utandawazi .en_US
dc.titleUhakiki wa Nafasi ya TEKNOHAMA katika Kukuza Maudhui katika Tamthilia ya Kigogoen_US
dc.typeOtheren_US


Files in this item

FilesSizeFormatView

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record